Kikachari

Kikachari ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakachari. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikachari imehesabiwa kuwa watu 59,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikachari iko katika kundi la Kibodo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search